UWEKEZAJI WA NSSF MKULAZI WAONGEZA AJIRA KWA WANANCHI NA UZALISHAJI SUKARI
Morogoro. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeendelea kudhihirisha mafanikio ya uwekezaji wake mkubwa katika sekta ya viwanda kupitia mradi wa kimkakati wa kiwanda cha sukari cha Mkulazi kilichoko mkoani Morogoro, ambacho kimeanza rasmi uzalisha Julai 2024, kimezalisha ajira kwa Watanzania na kuchochea shughuli za kiuchumi na kijamii kwa Wananchi. Akizungumza wakati wa…