Afrika yatakiwa kupunguza gharama huduma za afya
Dar es Salaam. Viongozi wa mataifa ya Afrika wametakiwa kuweka mkazo katika kupunguza gharama za huduma za afya, kuboresha mifumo ya upatikanaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa yasiyoambukiza na kuhimiza usawa. Utekelezaji wa hayo yote ni kupitia kitita muhimu (PEN- PLUS) anayopewa mtu mwenye magonjwa yasiyoambukiza ambayo tayari yamekwisha kuleta madhara mwilini mwake. Kitita…