Bashungwa akagua maonesho ya sekta ya ujenzi bungeni

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake. Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma kuanzia leo Mei 27, 2024 hadi Mei, 28 mwaka huu. Maonesho hayo yataambatana na…

Read More

Ushahidi butu ulivyomnusuru Bukuku kifungo miaka 20 jela

Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Mbeya, imemuachia huru Raphael Bukuku, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa makosa ya kuvunja nyumba na kuiba mali zenye thamani ya zaidi ya Sh3 milioni. Raphael na wenzake watatu( siyo warufani katika rufaa hiyo) walidaiwa kutenda makosa hayo usiku wa Desemba 28,2023 ambapo walivunja nyumba za watu…

Read More

Arusha kuna kishindo cha Lina PG Tour

Kesho katika viwanja vya Gymkhana jijini Arusha na magwiji wa gofu nchini wamenza kusaka kitita cha Sh50 milioni, kwa washindi wa raundi ya tatu ya mfululizo wa mashindano maalumu ya kumuenzi, Lina Nkya,  mlezi na mwendelezaji wa gofu ya wanawake aliyefariki dunia miaka ya karibuni. Kwa mujibu wa Mkurugenzi na mratibu wa mashindano hayo yaliyopewa…

Read More

MZUMBE SEKONDARI ALUMNI WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KUBORESHA, TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE

Na Mwandishi wetu Mzumbe Sekondari Alumni wametoa msaada wa komputa shule ya Mzumbe sekondari ikiwa ni jitahada za kuboresha teknolojia ya mawasiliano na kuboresha mbinu za kujifunza na kuendelea kusaidia ufundishaji kuwa bora zaidi. Mwenyekiti wa Umoja wa wanafunzi waliosoma Mzumbe Sekondari (Mzumbe alumni) Edward Talawa amesema hayo wakati wa kukabidhi kompyuta hizo kwa Mkuu…

Read More

Waeleza sababu za kuporomoka kwa ushairi Tanzania

Dar es Salaam. Wakati mataifa yakiadhimisha Siku ya Ushairi Duniani, wadau wa Kiswahili na ushairi nchini wameeleza vikwazo vinavyokwamisha ushairi nchini ikiwa ni pamoja na elimu duni na kudharau fasihi ya Kiswahili. Siku ya Ushairi Duniani huadhimishwa Machi 21 kila mwaka na siku hii ilianzishwa mwaka 1999 na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu,…

Read More

TEKNOLOJIA KUIVUSHA TANZANIA KWENYE UCHUMI WA KISASA

::::: Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katika juhudi za kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kisasa unaotegemea ubunifu, sayansi na teknolojia, serikali kwa kushirikiana na Benki ya Teknolojia ya Umoja wa Mataifa kwa Nchi Zinazoendelea (LDCs), imezindua rasmi Ripoti ya Tathmini ya Mahitaji ya Teknolojia (TNA). Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam Juni 25,…

Read More