
Fisi waua kondoo 17 Itilima, wazua hofu kijijini
Itilima. Hofu imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Gambasingu baada ya fisi wanne kuvamia zizi la kondoo na kuua kondoo 17 huku wengine watano wakijeruhiwa katika shambulio la usiku wa kuamkia leo Agosti 21, 2025. Shambulio hilo lilitokea saa 6 usiku katika Kitongoji cha Mwabasambo A na limeelezwa na wenyeji kuwa ni tukio la kihistoria kutokana…