Gamondi achomoa kikao cha mabosi Yanga
Wakati mabosi wa Yanga wakitawanyika kuashiria kumalizika kikao kizito kilichobeba ajenda za matokeo ya timu hiyo usiku wa kuamkia leo, taarifa zinasema kocha wa kikosi hicho, Miguel Gamondi hakuhudhuria. Yanga jana ilipoteza mchezo wa pili mfululizo wa Ligi Kuu Bara mbele ya Tabora United kwa mabao 3-1, baada ya wiki iliyopita kufungwa kwa bao 1-0…