BAKWATA Yawazawadia Washindi wakuhifadhi Qur’an

Na Baltazar Mashaka, Mwanza KATIKA juhudi za kulea kizazi chenye maadili na hofu ya Mungu, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza,leo limewazawadia vijana walioshiriki mashindano ya kuhifadhi Qur’an zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na mitungi ya gesi na fedha taslimu. Washindi sita wa mashindano hayo walipewa zawadi hizo,huku washiriki wengine 12 wakituzwa…

Read More

Afisa wa UN anaamua kupigwa kwa Ukraine, anahimiza kurudi kwenye diplomasia – maswala ya ulimwengu

Mabalozi wakuu katika Baraza la UsalamaMiroslav Jenča, Katibu Mkuu-Mkuu wa Ulaya katika Idara ya Mambo ya Siasa na Amani (DPPA), alifanya upya wito wa kusitisha mapigano mara moja na kurudi kwa diplomasia kumaliza uharibifu. “Watu wa Kiukreni wamevumilia karibu miaka mitatu na nusu ya kutisha sana, kifo, uharibifu na uharibifu. Wanahitaji haraka utulivu kutoka kwa…

Read More

Kadi nyekundu zatawala KVZ ikiitandika KMKM

TIMU ya KVZ, imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMKM katika mechi ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) iliyochezwa Oktoba 7, 2025 kwenye uwanja wa Mao A uliopo Unguja, huku timu zote zikiambulia kadi nyekundu. KVZ imeibuka na ushindi huo baada ya kutoa sare katika mechi ya kwanza, huku Mabaharia wakipoteza na kuambulia alama…

Read More

Askofu Sendoro wa KKKT afariki dunia kwa ajali Kilimanjaro

Mwanga. Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chediel Sendoro amefariki dunia usiku wa Jumatatu, Septemba 9, 2024 kwa ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea eneo la Kisangiro, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimaniaro, baada ya gari alilokuwa akiendesha Askofu Sendoro kugongana uso kwa uso la lori. Kamanda wa Polisi Mkoa…

Read More

Familia ya mtia nia aliyetoweka yaibua mapya

Tarime. Ikiwa leo ni siku ya tisa tangu mtiania wa udiwani katika kata ya Ganyange wilayani Tarime, Siza Mwita na rafiki yake, Anthony Gabriel kutoweka katika mazingira ya kutatanisha, familia imetuma ujumbe wa watu watatu kwenda makao makuu ya Jeshi la Polisi ili kujua mustakabali wa ndugu zao. Kwa upande wa kura za maoni zilizofanyika…

Read More

RAIS SAMIA AMETOA MILIONI 105 KUKARABATI SHULE YA MVINZA NA MILIONI 365.5 ZILIZOJENGA SHULE MPYA – KATIMBA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Mhe. Zainab Katimba amesema, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa milioni 105 zilizoboresha miundombinu ya Shule ya Msingi Mvinza na milioni 365.5 zilizojenga shule mpya ya Msingi ya Songambele ambayo imepunguza msongamano wa wanafunzi uliokuwepo katika shule ya Mvinza wilayani Kasulu.   Mhe. Katimba amesema hayo, wakati akizungumza…

Read More

Kiungo kiraka ajipa kazi Geita Gold

KIUNGO mpya kiraka wa Geita Gold, Raymond Masota amesema ujio wake ndani ya timu hiyo unaiongezea nguvu katika mapambano ya kupanda daraja kwenda Ligi Kuu Bara, huku akiahidi kuisaidia ili lengo hilo litimie. Masota anayemudu kucheza nafasi ya winga, kiungo mshambuliaji na beki wa kulia, alijiunga na Geita Gold Januari 8, mwaka huu katika usajili…

Read More