Rais Samia asisitiza kutekeleza 4R katika Muungano
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika kutekeleza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964 Watanzania hawana budi kutekekeleza kwa vitendo falsafa ya 4R. Tangu ameingia madarakani Machi 19, 2021 Rais Samia amekuwa na falsafa yake ya R nne (4R) anazozitumia katika utawala wake. 4R maana yake ni maridhiano (Reconciliation),…