NEMC IPEWE MENO YA KUFANYA MAAMUZI YASIYOINGILIWA .

Ni kauli yake Mhe. Kasalali Emmanuel Mageni Mbunge wa Jimbo la Sumve Mkoa wa Mwanza, alipokuwa akichangia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusph Masauni (Mb) aliyoiwasilisha leo kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2024/2025 na makadirio ya mapato na matumizi…

Read More

Wawakilishi wataka ukarabati wa shule kongwe

Unguja. Licha ya mafanikio ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa kujenga shule mpya za kisasa, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesema kuna haja ya kuzifanyia ukarabati mkubwa za zamani ili kuleta usawa kwa wanafunzi. Pia wameitaka wizara kutoa ufafanuzi kuhusu miongozo wanayotumia kuita majina shule zinazojengwa,  kwani huenda majina ya asili yakapotea…

Read More

Mbunge ataka sheria ya lazima watoto kutunza wazazi wao

Dodoma. Serikali ya Tanzania haina sheria ya kuwalazimisha watoto kuwatunza wazazi wao pindi watakapozeeka. Hata hivyo, itaendelea kufanya tathmini wakati wa utekelezaji wa sera ya wazee iliyoboreshwa ambayo ina tamko la kuwataka watoto kuwajibika kuwatunza wazazi, na endapo kutakuwa na umuhimu wa kuwepo na sheria maalumu kwa ajili hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri…

Read More