SERA YA ELIMU 2024 KUONGEZA KASI YA TEKNOLOJIA KWA TAIFA.
Serikali kupitia wizara ya Elimu sayansi na teknolojia imejipanga kufanya mapitio ya mitaala kuanzia ngazi ya awali hadi chuo kikuu ili kuwanoa wanafunzi watakaondana na ukuaji wa teknolojia ulimwenguni ili kuleta chachu kwa maslahi ya taifa ikiwa na lengo la kusimamia utekelezaji wa sera ya elimu ya 2024 itakayosaidia kuongeza ufanisi kwa watumishi wa Umma….