Ikanga Speed anatupia tu DR Congo
UNAWEZA kusema winga Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ gari limewaka akiwa kwao DR Congo kufuatia kasi yake aliyonayo ya upachikaji mabao. Winga huyo Mkongomani aliyewahi kuitumikia Yanga kwa kipindi kifupi alipotua katika dirisha dogo la msimu uliopita akitokea AS Vita na kuondoka mwishoni wa msimu wa 2024-2025 kwa sasa yupo FC Les Aigles du Congo inayoshiriki…