Kili MediAir yaendeleza huduma za uokozi na utalii wa anga kwa watalii nchini Tanzania
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Kampuni ya Kili MediAir, inayotoa huduma za uokozi kwa njia ya anga nchini Tanzania, imeendelea kuboresha huduma zake na kujikita katika utalii wa anga ili kuwapa fursa Watanzania na watalii wa kimataifa kufurahia mandhari za kipekee nchini. Akizungumza Oktoba 12, 2024, katika maonyesho ya nane ya S!TE yanayoendelea katika Ukumbi…