SERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MPANGO VYA VYANDARUA VILIVYOTIWA DAWA ZANZIBAR
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) wameungana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuadhimisha Siku ya Malaria Duniani na kutangaza kampeni ya usambazaji wa vyandarua vilivyowekwa dawa kwa Zanzibar yote. Kwa mujibu wa Utafiti wa Viashiria…