Kuongezeka kwa kasi kwa vurugu huko Gaza, Israel na Lebanon – Masuala ya Ulimwenguni

Haya yanajiri wakati afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon Jeanine Hennis-Plasschaert alipoanza ziara rasmi nchini Israel kukutana na maafisa wakuu wa serikali, baada ya akisisitiza kwamba “hakuna suluhu la kijeshi ambalo litafanya kila upande kuwa salama zaidi”. Nchini Lebanon, imeripotiwa kuwa watu wa kusini walipokea jumbe za simu na mitandao ya kijamii siku…

Read More

Ukifanya haya unaathiri makuzi ya mtoto wako

Kila mtoto ana ndoto ya kuishi maisha mazuri bila kujali anatokea katika familia ya maisha aina gani, iwe ya kitajiri, kati hata ya kimasikini, ndiyo maana wapo wanaopambana tangu wakiwa wadogo. Kutokana na familia wanazotoka, watoto wamejikuta wakishirikishwa katika biashara za wazazi wao tangu wakiwa wachanga hadi wanapofikia umri wa kujitegemea. Wapo watoto ambao wamejikuta…

Read More

SMART DARASA YAWAFUNGULIA MILANGO WADAU WAPYA WA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO KATIKA ELIMU

WADAU wa Elimu nchini waaswa kutumia ubunifu mbalimbali kuhakikisha wanaongeza ufaulu na Kurahisisha nyezo za Watoto Mashuleni Kujifunza kwa Kutumia mifumo ya Teknolojia. Akizungumza na Wanahabari Mkurugenzi wa Utafiti Habari katika Machapisho ya Elimu Nchini(TIE) Kwangu Zabron mara baada ya Kutambulishwa kwa program mpya Kusaidia Matumizi ya Teknolojia,Mawasiliano na Habari katika Elimu (SMART DARASA) amesema…

Read More

Beki Azam aandika rekodi mbili Bara

BAO moja lililofungwa na beki wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda katika ushindi wa kikosi hicho wa mabao 5-0, dhidi ya Dodoma Jiji, Mei 13, 2025, limemfanya nyota huyo kuandika rekodi mbili muhimu, huku akiwa na msimu bora na timu hiyo hadi sasa. Lusajo alifunga bao katika dk6, akiunganisha kwa kichwa mpira wa kona uliopigwa na…

Read More

Ujenzi Hospitali ya Mji wa Tarime wafika asilimia 90

Tarime. Serikali imetoa zaidi ya Sh900 milioni kwa ajili ya kukarabati na kuboresha miundombinu na majengo ya Hospitali ya Mji wa Tarime mkoani Mara kufuatia hospitali hiyo kuzidiwa na idadi ya wagonjwa wanaofika kupata huduma, ikilinganishwa na miundombinu iliyopo. Hospitali hiyo yenye uwezo wa kupokea na kuhudumia wagonjwa 150 kwa siku hivi sasa inapokea wagonjwa…

Read More