TGNP yasherehekea miaka 30 ya Beijing, yahimiza wanawake kugombea nafasi za uongozi kwenye uchaguzi ujao
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umesherehekea miaka 30 ya Beijing katika kongamano la wanawake na uongozi Dar es Salaam leo huku ukihimiza umuhimu wa wanawake kuendelea kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi mkuu ujao kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Lilian Liundi amesema wanayo furaha kuona uchaguzi wa serikali za…