Fufuni yaichimba mkwara Simba, kocha ajilipua
MABINGWA mara nne wa Kombe la Mapinduzi, Simba SC, imeambiwa ije kwa tahadhari kushiriki mashindano hayo kwani ratiba ya mechi zao mbili hatua ya makundi hazitakuwa rahisi. Simba iliyopo Kundi B, imetumiwa salamu hizo na wapinzani wake, Fufuni na Muembe Makumbi City ambazo zilipokutana Desemba 29, 2025, matokeo yalikuwa 1-1. Kocha Msaidizi wa Fufuni, Suleiman…