Zitto, Baba Levo wasaka rekodi Kigoma Mjini

Kigoma. Jimbo la Kigoma Mjini ni miongoni mwa majimbo yanayoibua mjadala na kufuatiliwa na wengi kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Siku hiyo Watanzania wataamua nani atakayeshika hatamu za urais, ubunge na udiwani kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Macho mengi yanaitazama Kigoma Mjini, ambayo pia imekuwa midomoni mwa watu ambako historia, siasa na burudani…

Read More

Mwili wa aliyetoweka wakutwa porini

Mufindi. Jackline Msigwa (26) mkazi wa Njombe ameuawa na watu wasiojulikana na kisha mwili wake kutupwa porini. Mwili huo ulikutwa kwenye msitu uliopo Mtaa wa Ifingo, Kata ya Kinyanambo C katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Alfred Mbena, amethibitisha tukio hilo akisema wanaendelea…

Read More

Prisons yafufuka Ligi Kuu ikiizima Fountain Gate

Baada ya kusota katika mechi tano mfululizo bila ya ushindi, hatimaye Tanzania Prisons imeona mwezi kwa kuonja pointi tatu za kwanza kwa kuikanda Fountain Gate mabao 3-2.  Kabla ya mchezo huo, Maafande hao walifululiza matokeo ya sare ya bila kufunga kabla ya kupoteza dhidi ya Namungo bao 1-0 na leo ikicheza nyumbani Sokoine imeibuka na…

Read More

SHINDA NA EXPANSE KASINO YA MERIDIANBET, JISAJI NA CHEZA

PROMOSHENI ya kuvuna mahela ya Meridianbet bado inaendelea kusaka washindi, Tsh 400,000,000/= zinakusubiri wewe, huenda unajichelewesha mwenyewe kuwa tajiri. Jisajili Meridianbet kisha shiriki kwenye shindano la kutafuta washindi kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Expanse. Wakati unaposhiriki shindano hili hakikisha tu unakuwa umejiandaa kutwaa ubingwa, mafanikio huanza na nia, katika safari…

Read More

Meridianbet Missions Kugeuza Mizunguko kuwa Mafanikio

MERIDIANBET imeamua kuvunja mipaka kwa kuleta kitu kipya kabisa, Meridianbet Missions. Huu ni mfumo wa kiubunifu unaochanganya michezo ya sloti na ushindani wa kimkakati. Sasa, kila mzunguko unakuwa zaidi ya burudani, ni hatua ya kuelekea mafanikio halisi, zawadi kubwa, na hadhi ya kipekee kwa wachezaji wanaothubutu kufuata misheni yao. Katika dunia ya Meridianbet Missions, wewe…

Read More

KKKT KUSHIRIKIANA NA TRA KUTOA ELIMU YA KODI

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) linatarajia kuanza kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa elimu ya Kodi makanisani ili kuongeza idadi ya walipakodi Kodi kwa hiari na kuleta usawa katika ulipaji wa Kodi. Hayo yamebainishwa katika kikao cha pamoja baina ya Askofu Mkuu wa KKKT Dk. Alex Malasusa na Kamishna Mkuu wa…

Read More

NIT kuwa kituo cha mitihani ya leseni za kimataifa

Dodoma. Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa kushirikiana na Athens Aviation Training Organization ya nchini Ugiriki imepata ithibati kutoka Wakala wa Usalama wa Anga wa Ulaya (European Aviation Safety Agency – EASA) ya kuwa Kituo cha Mitihani ya Leseni za Kimataifa kwa wahandisi matengenezo ya ndege. Hayo yameelezwa leo Alhamisi Mei 15, 2025 na…

Read More