
KATIBU MKUU MRAMBA AKUTANA NA KAMPUNI YA NYUKLIA YA CHINA
…………… 📌 Wajadili ushirikiano katika kuzalisha umeme wa nyuklia nchini 📌 Watanzania kujengewa uwezo katika masuala ya nyuklia Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba ameongoza ujumbe wa Serikali ya Tanzania katika kikao na Shirika la Taifa la Nyuklia la China (China National Nuclear Corporation – CNNC), kujadili fursa za ushirikiano katika kuanzisha…