
Mstaafu mfichwa maradhi anapoumbuliwa Kinondoni
Siku chache zilizopita, mstaafu wetu wa Taifa, amemsikia waziri wetu mmoja wa siri-kali akijibu swali lililoulizwa bungeni kuhusu wazee na likamfanya kuamini kweli sasa matibabu ya bure kwa wazee wa miaka 60 na zaidi, yameishia kuwa maneno kwenye kanga tu. Mstaafu wetu siku zote amekuwa akiamini maneno ya wahenga wetu kuwa, mficha maradhi kifo kitamuumbua, …