
Vodacom yavuna faida ya Sh90.5 bilioni
Dar es Salaam. Kuongezeka kwa wateja na mapato ya huduma zimetajwa kuwa sababu zilizofanya kampuni ya Vodacom kurekodi faida ya zaidi ya Sh90.5 bilioni baada ya kodi. Hayo yamebainishwa kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa, ambao walitajiwa kwamba rekodi hiyo imewekwa katika mwaka wa fedha wa Vodacom ulioishia Machi 31, 2025. Hivyo, wanahisa hao…