Kocha Singida apewa malengo mazito
UNAWEZA kuona kama mapema hivi lakini sio kwa Singida Black Stars baada ya kumshusha kocha Hamid Miloud na kumwambia anatakiwa kuhakikisha timu inashiriki michuano ya kimataifa msimu ujao. Kocha huyo ambaye ametambulishwa rasmi juzi, amewahi kuifundisha Al-Khaldiya FC, USM Alger na JS Kabylie za kwao Algeria, Al-Salmiya ya Kuwait, Athletico Marseille na ES Vitrolles za…