Waliokumbwa maporomoko ya tope Mlima Kawetere watoka kambini
Mbeya. Wakati Serikali ikiendelea kuratibu makazi ya waathiriwa wa maporomoko ya tope linalotoka Mlima Kawetere jijini hapa, waathiriwa hao wameondoka kwenye kambi ya muda katika Shule ya Msingi Tambukareli walikokuwa wamewekwa. Maporomoko hayo yaliyotokea alfajiri ya Aprili 14 mwaka huu katika Kata ya Itezi jijini Mbeya na kusababisha nyumba zaidi ya 20 na Shule ya…