NBS: Tanzania ina mfumuko mdogo wa bei EAC

Dar es Salaam. Taarifa rasmi zilizotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) zinaonyesha kuwa mfumuko wa bei nchini umebakia kuwa asilimia 3.1 tangu Desemba 2024, kiwango ambacho ni chini ikilinganishwa na nchi jirani. Katika kipindi kama hicho Kenya ilishuhudia ongezeko la mfumuko wa bei kutoka asilimia 3.0 mwezi Desemba hadi asilimia 3.3 mwezi Januari….

Read More

ABC yaipokea UDSM Outsiders | Mwanaspoti

KICHAPO ilichopewa UDSM Outsiders kutoka kwa KIUT cha pointi 65-60, kimeifanya timu hiyo ishuke katika uongozi wa msimamo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) hadi kwenda nafasi ya tano ikiipisha kileleni ABC. Kushuka kwa Outsiders kumeifanya ABC iongoze Ligi hiyo kwa pointi 12, ikifuatiwa na Dar City iliyopata pointi 10. Takwimu…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Mzamiru ana jambo lake Simba

KLABU ya Simba iko kwenye mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya wa miaka miwili kiungo nyota wa kikosi hicho, Mzamiru Yassin. Mkataba wa kiungo huyo wa zamani wa Mtibwa Sugar aliyemaliza msimu akiwa na asisti nne umefikia ukingoni na tayari wawakilishi wa Mzamiru wameanza mazungumzo ili asaini dili jipya na miamba hiyo. Klabu mbalimbali za Azam…

Read More

MISS WORLD NA MISS AFRICA WATEMBELEA WODI YA NJITI PAMOJA NA DORIS MOLLEL FOUNDATION

16 Julai 2025 – Mwananyamala Hospital Dar es Salaam, Tanzania Miss World @suchaaata Miss Africa @hasset_dereje na Mustafa @mustafahassanali walitembelea wodi ya watoto njiti katika Hospitali ya Mwananyamala pamoja na Doris Mollel Foundation. Wameguswa na kazi kubwa inayofanywa kuwahudumia watoto njiti na wamepongeza juhudi zinazofanyika na kuahidi kuchangia vifaa tiba na kusaidia hospitali nyingine zaidi…

Read More

Mdee aibua tena mgogoro wa ardhi Mbopo, waziri ajibu

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee ‘amewaka’ bungeni akitaka Serikali ieleze hatima ya wananchi wa mitaa saba katika majimbo ya Kawe na Kibamba jijini Dar es Salaam. Mdee ametoa kauli hiyo bungeni jijini Dodoma leo Alhamisi Mei 29, 2025 wakati akichangia hotuba ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka 2025/26….

Read More