BITEKO AZINDUA MICHEZO SHIMIWI MKOANI MOROGORO

Morogoro 📍 Michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) imefunguliwa rasmi kuzikutanisha timu zinazowajumuisha watumishi wa serikali kutoka kwenye wizara, taasisi, wakala za serikali, ofisi za wakuu wa mikoa, halmashauri, pamoja na manispaa. Uzinduzi huu umefanywa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Biteko aliyeambatana…

Read More

Ramovic, Fadlu katika mtihani wa mabao

Dar es Salaam. Licha ya kuwa Yanga na Simba wana vibarua tofauti na vigumu vya kufanya katika michezo yao ya pili ya kimataifa wakiwa ugenini nchini Algeria, takwimu zinaonyesha wapinzani wao, MC Alger na CS Constantine ni timu zenye tabia ya kuruhusu mabao. Jambo hilo linabaki kuwa mtihani kwa Kocha wa Yanga, Sead Ramovic na…

Read More

Hizi hapa silaha tatu za Hamdi Yanga

KIKOSI cha Yanga jana kilikuwa uwanjani kuvaana na Coastal Union katika mechi ya hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho, lakini mapema kocha mkuu wa timu hiyo, Miloud Hamdi aliweka wazi silaha tatu zinazombeba katika mechi mbalimbali tangu ajiunge na vijana wa Jangwani. Hamdi alijiunga na Yanga Februari 5 mwaka huu, amewataja viungo wakabaji…

Read More