Rais Samia azindua vitabu kuhusu Muungano, agusia Baraza la Mawaziri
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amezindua vitabu viwili kuhusu Muungano akitaka vitafsiriwe kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza kuwezesha Watanzania na wageni kuvielewa. Amesema kitabu cha Miaka 60 ya Muungano kitafsiriwe kwa Kiswahili kwa sababu kimeandikwa kwa Kiingereza. Rais Samia akizindua vitabu hivyo leo Aprili 24, 2024 Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma amesema…