LUTANDULA KULA SAHANI MOJA NA MAWINGA PEMBEJEO

Kulia ni mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Chato kusini, Paschal Lutandula akiwa na mgombea udiwani kata ya Iparamasa (Kushoto) Peter Mbasa. ……………… CHATO  KATIKA kuhakikisha wakulima wananufaika na kilimo cha kisasa ikiwa ni pamoja na kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara, mgombea Ubunge wa Jimbo la Chato kusini, Paschal Lutandula,…

Read More

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 15Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 3, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania., 2024

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 15Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 3, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa…

Read More

Azam FC kumaliza kazi waliyoianza Dar?

Matajiri wa Chamazi, Azam FC wana kibarua kizito jijini Kigali, Rwanda, itakaposhuka uwanja mkubwa nchini humo wa Amahoro kumalizana na APR mabingwa wa nchi hiyo. Azam imeshuka kwa kitisho ikisafiri na msafara wa watu 60 kwenye timu yao tu lakini pia ikasafirisha mashabiki wao mpaka nchini humo ili kuwaongezea hamasa ya kuhakikisha inafuzu baada ya…

Read More

Trump, Harris wapiga kampeni za lala salama Nevada – DW – 01.11.2024

Katika mkutano wake wa Kampeni mjini Las Vegas Kamala Harris amemkosoa vikali Trump kwa maoni aliyoyaita “ya udhalilishaji mkubwa” kwa wanawake. Ameyasema hayo akiirejea kauli ya mpinzani wake huyo aliyesema katika mkutano wake wa Jumatano huko Green Bay Wisconsin kuwa atawalinda wanawake, “watake wasitake.” Akiizungumzia  kauli hiyo ya Trump, Harris amedai kuwa inawadhalilisha wanawake na…

Read More