WAZIRI BASHE ATOA SAA 24 KAMPUNI YA RV KULIPA MADENI YA WAKULIMA
WAZIRI wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ametoa saa 24 kwa kampuni ya RV inayonunua mazao Masasi mkoani Lindi kulipa madeni ya wakulima huku akiagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwashikilia viongozi wastaafu wa ushirika ambao wamehusika na ubadhilifu wa zaidi ya sh.milioni 139. Pia amesema, serikali inakwenda kufumua mfumo wa mauzo na ugawaji wa ruzuku…