Wazazi Geita waonywa kuozesha, kutumikisha watoto
Geita. Wazazi na walezi ambao hawajapeleka watoto wao kujiunga na kidato cha kwanza katika muhula mpya wa masomo 2026, wametakiwa kufanya hivyo badala ya kuwaozesha katika umri mdogona kuwanyima haki yao ya msingi ya kupata elimu. Wito huo umetolewa na Naibu Meya wa Manispaa ya Geita, Elias Ngole akiwataka wazazi na walezi katika kata hiyo…