Mwanafunzi Udom afariki dunia mafunzoni Udzungwa
Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linachunguza taarifa ya kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Hezekiel Petro (21) aliyekufa maji kwenye maporomoko ya maji Sanje yaliyopo Hifadhi ya Taifa ya Udzungwa, Kata ya Sanje, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatatu, Desemba 23, 2024 mjini hapa, Kamanda…