Matatizo ya ‘automatic gearbox’ yanatibika, soma hapa

Watu wengi wanaokumbana na matatizo kwenye Automatic gearbox huishia kubadili ‘gearbox’ zao. Mfano wa matatizo hayo ni ‘gearbox’ inagoma kupokea gia au inachelewa kubadili, injini kuendelea kuzunguka katika RPM kubwa hata baada ya kukanyaga breki, ‘gearbox’ kukwama katika ‘Neutral’. Mengine ni kutopata vizuri gia ya kurudisha gari nyuma (reverse gear), mtikisiko wakati wa kubadili gia…

Read More

WANANCHI WA KIJIJI CHA MTYANGIMBOLE WASHUKURU SERIKALI KWA KUJENGA SHULE YA SEKONDARI

 NA BELINDA JOSEPH, RUVUMA. Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Mbunge wa Jimbo la Madaba Mhe Joseph Kizito Mhagama,  kwa kujenga shule ya sekondari katika eneo hilo ambayo imeondoa adha kubwa iliyokuwa ikiwakumba wanafunzi kulazimika kutembea umbali mrefu wa zaidi ya kilomita nne kufuata…

Read More

Painia wa Kiafrika – maswala ya ulimwengu

Mikopo: Hadynya/iStock na Picha za Getty kupitia Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) Maoni na Lonkeng wa kila wakati (Porto-Novo, Benin) Jumanne, Februari 04, 2025 Huduma ya waandishi wa habari PORTO-NOVO, Benin, Feb 04 (IPS)-Benin alikabiliwa na spillovers hasi mnamo 2022: hali ya usalama wa mkoa katika mpaka wake wa kaskazini, makovu ya muda mrefu…

Read More

Changamoto, sababu uchache wahandisi wanawake zatajwa

Dar es Salaam. Wazazi, dhana ya ugumu masomo ya sayansi, vimetajwa kusababisha idadi ya wahandisi wanawake kuwa ndogo nchini. Ambapo idadi ya wahandisi wanawake Tanzania Bara  hadi mwaka 2024 wanafikia 5,006 kati ya zaidi ya 38,000 wa kada zote. Mbali na hizo  uwajibikaji, ajira, kutoaminiwa na waajiri, waajiri kuwa na imani haba kwa wahandisi wanawake,…

Read More

Sura tofauti za mnyukano wa Gambo, Makonda

Dar es Salaam. Ingawa majibizano baina ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, yanatafsiriwa kuwa hulka za viongozi hao, wanazuoni wanayahusisha na vikumbo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Kwa mujibu wa wanazuoni waliobobea katika sayansi ya siasa, kilichojificha nyuma ya majibizano au ugomvi, kama inavyodaiwa na wengi,…

Read More

Mwanzo, mwisho wa Papa Francis

Dar es Salaam. Alipochaguliwa kuwa Papa Jumatano Machi 13, 2013 akiwa na umri wa miaka 76, Papa Francis alikuwa na afya njema. Madaktari walisema tishu katika mapafu zilizoondolewa akiwa mdogo hazina athari kubwa kwa afya yake. Wasiwasi pekee ungekuwa kupungua kwa uwezo wa kupumua endapo angepata maambukizi ya njia ya hewa. Papa amekuwa akisumbuliwa na…

Read More

Wanakijiji wapewa siku 14 kupinga uamuzi wa RC Tanga

Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo  ya Tanga, imetoa siku 14 kwa wananchi 11 wa Kijiji cha Nghobore, kufungua shauri la maombi ya marejeo kupinga uamuzi wa mkuu wa mkoa wa huo, kugawa eneo la hekta 13,000 kwa kijiji cha jirani na Jeshi la Wananchi Tanzania  (JWTZ). Aidha, Mahakama hiyo imekataa kutoa zuio la kusitishwa kwa…

Read More

Maharage Chande na pandashuka katika mashirika ya umma

Dar es Salaam. Licha ya historia nzuri na sifa lukuki za utendaji, alipokuwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), katika wadhifa wa Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania hali imekuwa tofauti. Huu ndiyo uhalisia wa historia ya Maharage Chande katika kuzitumikia taasisi za umma tangu Septemba 2021 alipotoka sekta binafsi. Safari ya Chande katika…

Read More