Kampeni Ya Kijiji Kwa Kijiji Jimbo La Musoma Vijijini – Global Publishers
Last updated Oct 13, 2025 Musoma Vijijini, Oktoba 12, 2025Madiwani kupitia Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameungana na Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, katika harakati za kusaka kura kupitia kampeni ya mafiga matatu Rais, Mbunge na Madiwani. Wakihutubia wananchi katika mikutano ya kampeni iliyofanyika leo…