Migogoro ya ardhi yatawala kampeni ya Mama Samia Legal Aid ikizinduliwa Z’bar
Unguja. Wakati kampeni ya msaada wa kisheria inayojulikana kama Samia Legal Aid ikizindiliwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mkuu wa Mkoa huo, Mattar Zahor amesema changamoto kubwa inayowakabili wananchi ni migogoro ya ardhi inayosababishwa na shughuli za utalii. Hivyo, amewataka wananchi hao wajitokeze kwa wingi kupatiwa ufumbuzi wa matatizo hayo, kwani suala la haki ni maisha…