
Watuhumiwa wa mauaji Ilemela wafikishwa kortini
Mwanza. Watuhumiwa watatu wa mauaji ya Nestory Marcel yaliyotekelezwa Juni 23, 2025, katika eneo la Buganda, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wamefikishwa mahakamani. Watuhumiwa hao ni Jacob Odhiambo (36) ambaye ni mfanyabiashara na mkazi wa Buswelu, Abdul Dinisha (29), mfanyabiashara kutoka Nyamhongolo na Erick Olang (37), mfanyabiashara na mkazi wa Igoma. Akisoma hati ya mashtaka…