Baba miaka 30 jela kwa kuzini mwanaye
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Musoma, imebariki adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa mkazi wa Bunda, aliyohukumiwa kwa kosa la kuzini na binti yake wa kumzaa aliyekuwa na umri wa miaka 12. Kulingana na Kanuni ya Adhabu Sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2022, kosa la kuzini na ndugu wa damu (incest…