Mabeyo ametuepusha

NIMEGUSWA na uadilifu, utiifu na uaminifu wa Mkuu mstaafu wa majeshi Jenerali Venance Mabeyo kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaandika Joster Mwangulumbi… (endelea). Jenerali Mabeyo ndiye, saa 24 kabla ya John Magufuli kufariki dunia 17 Machi 2021 katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam, alikuwa ameishika mkononi hatima ya Tanzania. Kwa maelezo yake, yeye…

Read More

Moto, uvamizi watishia urithi wa dunia nchini

Serengeti. Majanga ya moto na uvamizi wa watu katika maeneo ya hifadhi za Taifa yameendelea kuwa tishio kwa maeneo ya urithi wa dunia na vituo vya urithi wa Taifa hapa nchini. Wataalamu wanataka hatua za haraka kuchukuliwa ili kuyalinda maeneo hayo dhidi ya uharibifu wa kudumu. Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Stephano Msumi…

Read More

Ngalema apewa miaka miwili Prisons

TIMU ya Tanzania Prisons imeanza usajili na tayari imemalizana na  beki wa kushoto Aboubakar Ngelema, ambaye msimu ulioisha alikuwa na Dodoma Jiji. Mwanaspoti imepata taarifa za uhakika za Ngalema kusaini miaka miwili katika kikosi hicho na muda wowote wanaweza wakamtangaza. Chanzo cha taarifa kutoka ndani ya Prisons kimesema: “Ngelema ni mchezaji halali wa Prisons, kwani…

Read More

Makampuni ya Kubeti Tanzania: Nne Bora za Mwaka Huu

Je, unatafuta kampuni za kubeti Tanzania ili kujisajili? Usiangalie pengine kwa kuwa sisi tunaweza kukusaidia kufanya chaguzi sahihi. Leo hii, kuna kampuni bora za kubeti ambazo hufanya muda wako wa kubeti na kucheza michezo mbalimbali ya kasino wenye raha sana.  Pia, makampuni ya kubeti Tanzania huja na faida tofauti kutegemea na kile mchezaji anachotafuta. Utakutana…

Read More

Shule zisaidie kufundisha watoto uzalendo

Dar es Salaam. Uzalendo ni moyo wa kuipenda nchi yako, kuithamini, na kuwa tayari kujitoa kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa taifa lako. Ni thamani inayojengwa na kuendelezwa kwa makusudi, si jambo la kimaumbile tu. Katika hali ya sasa ambapo taifa linakumbwa na changamoto nyingi za kimaadili, kiuchumi na kijamii, ipo haja ya dharura…

Read More