Chama la Wana laanza kujipata Ligi ya Championship

STAND United ‘Chama la Wana’ imeanza kunyanyuka taratibu na kupanda juu katika msimamo wa Ligi ya Championship baada ya kupitia changamoto mbalimbali ikiwamo ukata na kupokwa pointi na Bodi ya Ligi, hii imetokana na ushindi wa bao 1-0 nyumbani dhidi ya Barberian FC. Ushindi huo uliopatikana juzi katika mechi ya Ligi ya Championship kwenye Uwanja…

Read More

Watu wanne wafariki dunia kwa kusombwa na maji

Mbeya. Wakati watu wanne wakiripotiwa kufariki dunia kwa kusombwa na maji jijini Mbeya, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo limewaomba wananchi kuendelea kuchukua tahadhari juu ya mvua zinazoendelea kunyesha na kuweka ulinzi kwa watoto, wazee na wenye ulemavu. Pia, limewaomba kuendelea kutoa taarifa za majanga popote kwa Jeshi hilo ili kuweza kuokoa maisha ya…

Read More

‘Uwinga’ mkombozi tatizo la ajira kwa vijana

Dar es Salaam. Jua linapochomoza katika mitaa ya Kariakoo, kitakachoashiria siku mpya imeanza ni ngurumo ya magari na sauti za wachuuzi wa bidhaa, ambao baadhi hutumia vipaza sauti. Katika mazingira hayo yenye kelele, Juma Seleman (25), huanza harakati za siku za ‘uwinga’ akiingia duka hili na lile kutafuta bidhaa kwa ajili ya wateja anaotafuta mtandaoni….

Read More

Wadau wafurahia uwazi mnada wa madini kidijitali

Arusha. Wanunuzi wa madini ya vito kutoka maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi wamejitokeza kununua madini kwa njia ya mtandao ukiwa ni utaratibu mpya uliowekwa na Wizara ya Madini chini ya usimamizi wa Tume ya Madini,  kwa ajili ya kuongeza ufanisi na uwazi katika kufanya biashara hiyo hapa nchini. Ununuzi huo umekuja siku moja baada…

Read More