UNYANYAPAA , MITIZAMO HASI YA JAMII KIKWAZO CHA AJIRA ZA WATU WENYE ULEMAVU

NA BALTAZAR MASHAKA,MWANZA SHIRIKISHO la Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Wilaya ya Nyamagana,linatambua jitihada za serikali za kuboresha maisha ya Watanzania wakiwemo watu wenye walemavu, mitizamo hasi ya jamii na sekta binafsi kuwa walemavu hawawezi kufanya kazi licha ya kuwa na sifa na elimu ni kikwazo cha kutoajiriwa. Mwenyekiti wa SHIVYAWATA wilayani humu,Hamza Nyamakurura amesema…

Read More

Majeraha ya Fei yaitikisa Azam

KINACHOFANYWA na madaktari wa Azam hivi sasa ni kumpambania kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ awepo kwenye mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Maniema. Hiyo inatokana na Fei Toto kuumia nyonga katika mechi iliyopita ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1. Kuumia kwake…

Read More

Kituo cha urithi wa ukombozi Afrika kujengwa Tanzania-MwanaFA

Na Mwandishi wetu TANZANIA imeandika historia nyingine kubwa katika nyanja ya kidiplomasia na utamaduni baada ya kufanikiwa kupitisha ajenda ya kuanzishwa kwa Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Afrika (ALHC) kama Taasisi rasmi ya Umoja wa Afrika (AU), kitakachokuwa na makao yake nchini Tanzania. Ushindi huo umepatikana katika Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Utamaduni,…

Read More

Bibi wa miaka 74 ahitimu mafunzo ya upishi Veta

Arusha. Mkazi wa Arusha, Arafa Yusuph Matoke (74), amepata mafunzo ya Sanaa ya Upishi katika Chuo cha Ufundi Stadi (Veta) cha Hoteli na Utalii kwa kipindi cha miezi mitatu. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Hussein Mohamed Omar, amemkabidhi Afara cheti cha kuwa mwanafunzi bora katika mahafali ya 13 ya…

Read More