Rais Samia aridhishwa utendaji mabalozi, awapa neno
Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya bidhaa za Tanzania, biashara, uwekezaji, utalii na teknolojia nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Rais Samia ametoa pongezi hizo leo tarehe 22 Aprili 2024 alipokuwa anawahutubia Mabalozi hao kwa…