Ajali yaua 13 Kilwa | Mwananchi
Kilwa. Watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Somanga Wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi. Akizungumzia ajali hiyo leo Jumatatu Aprili 22, 2024 kwenye eneo la tukio, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori, amesema ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi. Amesema gari dogo la abiria aina…