MKWAWA LEAF WAHIMIZWA KUTUNZA MAZINGIRA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa usafi wa mazingira baada ya kutembelea kiwanda cha tumbaku cha Mkwawa Leaf na kupata tathmini ya shughuli zake. Rais Samia alizungumza siku ya Jumanne, Agosti 6, 2024, wakati akizindua na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Sigara cha…