SERIKALI YABORESHA VIWANGO VYA POSHO WASIMAMIZI WA UCHAGUZI
Na; Mwandishi Wetu – Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali imefanya maboresho viwango vya posho za kujikimu Wasimamizi wa Uchaguzi kwa kuzingatia Waraka wa Utumishi wa Umma kuhusiana na posho za serikali. Amesema hayo hii leo Aprili 22, 2024 Bungeni Jijini Dodoma…