Chanzo, tiba msongo wa mawazo kazini – 1
Huu ni msongo wa mawazo kwa watu walio kazini. Kwa kawaida, husababishwa na mazingira ya kazi, uzito wa kazi na uwezo wa mtu kuimudu kazi. Mambo haya yote huunda mazingira yanayoweza kumweka mwajiriwa kwenye hatari ya kupata msongo wa mawazo. Mambo mengine yanayochangia msongo wa mawazo kwa wafanyakazi ni nafasi ya mwajiriwa katika ofisi, uhusiano…