Ulinzi na usalama waimarishwa zoezi la kujiandikisha Mvomero

Hali ya ulinzi na Usalama katika wilaya ya Mvomero imeimarishwa jambo ambalo limechochea Watu kujitokeza Kwa wingi Kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kwenye vituo mbalimbali katika eneo hilo. Akizungumza na wananchi waliojitokeza Katika Kituo cha kuandikishwa kupiga kura cha Kanisani Kijiji cha Sokoine Mkuu wa Wilaya hiyo Judith Ngulli amesema hamasa iliyofanyika imesaidia watu…

Read More

KenGold bado haijakata tamaa | Mwanaspoti

LICHA ya kudondosha pointi sita katika mechi mbili za mwanzo za Ligi Kuu Bara inayoicheza kwa mara ya kwanza, kocha mkuu wa KenGold, Fikiri Elias amesema bado ana imani ya timu hiyo kufanya vizuri kadri inavyozidi kuizoea ligi. Wageni hao wa Ligi Kuu kutoka jijini Mbeya, kesho Jumatatu watavaana na KMC na kocha Elias alisema…

Read More

Mambo ya kukumbuka kwa Kinana

Dar es Salaam. Abdulrahman Kinana, ameamua kupumzika siasa za majukwaani. Ni baada ya kukitumikia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi mbili za juu. Alianza akiwa Katibu Mkuu akaomba kupumzika. Aprili mosi, 2022 wajumbe wa mkutano mkuu wakamchagua kwa kishindo kuwa Makamu Mwenyekiti-Bara wa chama hicho. Kinana (71), amemwandikia barua Mwenyekiti wake wa chama, Rais Samia…

Read More

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA AFUNGUA MAONYESHO YA TANZANITE MANYARA TRADE FAIR 2024

Na Cathbert Kajuna – Kajunason/MMG, Manyara. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amefungua maonyesho ya Tatu ya biashara ,Viwanda ,kilimo na Madini ya Tanzanite Manyara Trade Fair 2024 yaliyofanyika yaliyofanyika katika Viwanja vya Stendi ya Zamani mjini Babati Mkoani Manyara huku akiahidi kuwa serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kibiashara na uwekezaji ili kukuza…

Read More

BFPL Yapanua Kiwanda, Yaimarisha Uzalishaji wa Vinywaji

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KAMPUNI ya Bakhresa Food Products Ltd (BFPL) katika kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, imefanya upanuzi wa kiwanda chake cha vinywaji baridi kwa kufunga mitambo mipya ya kisasa ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya wateja wake. Akizungumza na waandishi wa habari Juni 19, 2025, katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege, mkoani Pwani,…

Read More

Rais Samia amteua Makalla RC Arusha

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, Agosti 23, 2025 amemteua Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha (RC) kuchukua nafasi ya Kenani Kihongosi. Awali, Makalla alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nafasi ambayo Halmashauri Kuu ya CCM, imemteua Kihongosi kuishika. Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano…

Read More