Kauli ya mwisho ya Dk Ndugulile bungeni
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile, ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 27, 2024, nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu, aliwaacha Watanzania na ujumbe mzito wa maono na matumaini alipohitimisha hotuba yake ya mwisho bungeni. “Nimepewa miezi sita kujipanga na kuandaa maono yangu nitakapoanza kazi Machi mwakani. Nia ya kufanya…