Mwananchi yaeleza manufaa kongamano la ‘Energy Connect’
Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited (MCL), Victor Mushi amesema lengo la kuandaliwa kwa kongamano la ‘Energy Connect’ ni kuwezesha mazungumzo kuhusu matumizi ya nishati safi nchini Tanzania. Kupitia kampeni isemayo, “ushirikiano wa kibunifu katika nishati safi ya kupikia, endelevu na mustakabali wa kijani,” watu watajifunza jambo kwa undani. Kongamano hilo…