Dk. Biteko kushiriki uapisho wa Rais mpya Botswana
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko anaiwakilisha Serikali katika sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Botswana Gideon Duma Boko zitakazofanyika Katika Uwanja wa Taifa wa nchi hiyo Novemba 8, 2024. Akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Gaborone, Dk. Biteko amepokelewa na Katibu Mkuu wa Vijana,…