Askari wanafunzi 10 kati ya 14 waliopata ajali kuendelea na matibabu Shule ya Polisi, Moshi

Hai. Askari wanafunzi 10 kati ya 14 wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, mkoani Kilimanjaro waliopata ajali ya gari wameruhusiwa kuendelea na matibabu katika hospitali ya Polisi iliyopo shuleni hapo baada ya afya zao kuimarika. Wanafunzi (kuruta) wengine wanne wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Hai, mkoani hapa huku mmoja aliyepata rufaa …

Read More

Kuuzwa soko la Kurasini, viongozi warushiana mpira

Dar es Salaam. Wakati viongozi wa soko la Kurasini, lililopo Mtaa wa Shimo la Udongo, barabara ya GSM jijini hapa, wakieleza wapo hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuuza soko hilo, uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umesema hautambui mauzo hayo. Mbali ya halmashauri, uongozi wa mtaa na wafanyabiashara zaidi ya 160 waliopo sokoni…

Read More

Simba, Yanga kuanzia ‘mchangani’ CAF

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga zimepangwa kwa pamoja kuanzia hatua ya awali ya raundi ya kwanza tofauti na misimu mitatu iliyopita zilipokuwa zikitofautiana kwa Simba kuanzia raundi ya pili. Hatu hiyo imetokana na mabadiliko yaliyofanywa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa msimu ujao wa…

Read More

Hali ya hewa kali itasababisha uchumi na mazingira ya Asia, inasema Shirika la Hali ya Hewa la Dunia – Maswala ya Ulimwenguni

Mnamo Septemba 2024 mvua kubwa ilisababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi huko Nepal, vijiji kama Roshi wilayani Kavre viliathiriwa. Mikopo: Barsha Shah na Tanka Dhakal (Bloomington, USA) Jumatatu, Juni 23, 2025 Huduma ya waandishi wa habari BLOOMINGTON, USA, Jun 23 (IPS) – Asia inaelekea kwenye hali mbaya zaidi ya hali ya hewa na uwezekano wa…

Read More

Tunaendelea kuwekeza kwenye TEHAMA – Mhe. Silaa.

Na Grace Semfuko, Maelezo. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa, amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), na kufanya maboresho ya kisera, kisheria na kitaasisi pamoja na kujenga uwezo kwa watanzania, lengo likiwa ni kuifanyia Tanzania kuwa sehemu ya mabadiliko ya teknolojia Duniani. Mhe. Silaa ameyasema…

Read More