Lawi maji ya shingo Coastal

BEKI wa Coastal Union, Lameck Lawi amesema huu ni msimu dume kwake na timu kwa ujumla lakini wanapambana kuhakikisha msimu ujao wanacheza tena ligi kwa ubora zaidi. Coastal ipo nafasi ya tisa katika msimamo baada ya mechi 22, ikishinda tano, sare tisa na kupoteza mara nane ipo nafasi ya kumi kwenye timu iliyoruhusu nyavu zake…

Read More

Yanga kuwafuata Wajerumani Sauzi kesho

KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kuondoka nchini kesho Alhamisi kwenda kuweka kambi ya wiki kama mbili katika jiji la Mpumalanga, Afrika Kusini. Kama ambavyo awali Mwanaspoti iliporipoti, Yanga kupitia Msemaji wake Ally Kamwe amethibitisha safari hiyo ambapo kikosi hicho kitaondoka kesho saa 7 mchana. Kamwe amesema, Yanga ikiwa huko itaweka kambi fupi pamoja na kucheza mechi…

Read More

Stam azitamani pointi za Yanga

KOCHA Msaidizi wa Fountain Gate, Amri Said ‘Stam’ amesema kikosi chao kimeanza kuonyesha matumaini na kutibu madhaifu yaliyokuwepo hivyo wako tayari kuzipambania alama tatu katika mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga. Stam ambaye kwa sasa anasaidiana na Khalid Adam waliiongoza timu hiyo juzi kupata sare ya bao 1-1 na Pamba Jiji katika Uwanja…

Read More

CAF yaongeza mkwanja CHAN | Mwanaspoti

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeweka wazi ongezeko kubwa la zawadi kwa washindi wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) ya mwaka 2024 yatakayofanyika Kenya, Tanzania, na Uganda. Zawadi ya mshindi wa michuano hii imeongezwa kwa asilimia 75, ambapo sasa mshindi atapata dola 3.5milioni ambazo ni zaidi ya 8.7 bilioni. Aidha, jumla ya zawadi kwa…

Read More

Mgaya Ally atimkia Oman | Mwanaspoti

BAADA ya kuitumikia Coastal Union kwa msimu mmoja, straika wa Kitanzania, Mgaya Ally amesema ni muda wa kuendelea kutafuta changamoto sehemu nyingine akitimkia Salalah SC ya Oman  kwa mkataba wa mwaka mmoja. Nyota huyo alijiunga na Wagosi wa Kaya wakati wa dirisha dogo la usajili akitokea FleetWoods Falme za Uarabu, UAE alikocheza kwa misimu miwili….

Read More