Uzinduzi Simba Day waleta shangwe Mafinga
Mashabiki na wa wananchama wa Simba Tawi la Mafinga na maeneo mbalimbali nje ya Mkoa wa Iringa, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uzinduzi wa Wiki ya Simba Day unaotarajiwa kufanyika Agosti 30, 2025, wilayani Mufindi mkoani hapa, huku fursa ya kiuchumi ikitajwa kuwanufaisha. Kauli hiyo imetolewa leo Agosti 28, 2025 na Mwenyekiti wa Tawi…