Polisi, uhamiaji kuanzisha ‘one stop center’ kuhudumia watalii
Arusha. Ili kuboresha huduma kwa watalii, Kituo cha Utalii na Diplomasia kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji nchini, wanatarajia kuwa na Kituo cha Huduma Jumuishi (One Stop Center) ili waweze kuhudumia watalii kwa haraka. Kituo hicho kitakachofanya kazi kwa muda wa saa 24, kinatajwa kusaidia kuharakisha utoaji huduma kwa watalii ikiwemo wanaopoteza hati zao za…