Nukuu za Lowassa, Mwinyi zilivyobeba hotuba ya Simbachawene
Dodoma. Waziri George Simbachawene ametumia nukuu za viongozi wa zamani, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Edward Lowassa kuhimiza haki za raia, kujali usawa wa binadamu na fikra za mabadiliko katika jamii. Simbachawene ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora amesema hayo leo Ijumaa ya Aprili 19,…